News and Events Change View → Listing

Tanzania Yaongoza Ujumbe wa Mabalozi wa SADC Brazil Kukutana na Serikali ya Brazil kuhusu Zimbabwe

Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliongoza ujumbe wa Mabalozi wa SADC kufanya mazungumzo na Serikali ya Brazil yaliyowakilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Kenneth Felix Haczynski da Nobrega,…

Read More
Tanzania ePassports, 2019

Utaratibu wa kupata pasipoti mpya

Baada ya maulizo mengi kuhusu utoaji wa Pasipoti Mpya, ufuatao ni utaratibu wa kushughulikia zoezi hilo katika nchi za uwakilishi wetu*: A. KUNUNUA FOMU Mwombaji anaweza kuja Ubalozini na pasipoti…

Read More

Tanzania Kuongoza Mkutano wa Mabalozi wa Nchi za SADC na Serikali ya Brazil

Balozi Dkt. Nchimbi aliongoza ujumbe wa Mabalozi kumi (10) wa nchi wanachama wa SADC kuonana na Mhe. Balozi Kenneth Felix Haczynski, Naibu Waziri wa Brazil anayeshughulikia mahusiano ya Mashariki ya Kati,…

Read More

Online VISA Application (e-VISA)

This is to inform all Visa applicants and the general public that the United Republic of Tanzania has launched Online Visa Application System effective since 10th Jan, 2019. For those who wish to travel…

Read More

NOTICE TO TRAVELLERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

NOTICE TO TRAVELLERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Brazil awasilisha Hati za Utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Brazil Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Mhe. Michel Temer, Tarehe 26 Juni, 2017. Rais Temer alisifu jitihada za…

Read More

MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA MPANGO WA CHAKULA DUNIANI

Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi alifanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) chini ya Taasisi ya Centre for Excellence for Hunger ya Brazil Bw. Peter Rodrigues…

Read More

BALOZI ASHIRIKI SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS WA BRAZIL

Mheshimiwa Dkt. Emmanuel J. Nchimbi, Balozi wa Tanzania nchini Brazil alimwakilisha Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye sherehe za kuapishwa kwa Mhe. Jair…

Read More