News and Events Change View → Listing

TAARIFA YA MAONYESHO YA “84” YA NG´OMBE “EXPO-ZEBU” MJINI UBERABA, MINAS GERAIS – BRAZIL

Ubalozi ulishiriki katika maonesho wa ng’ombe wa kisasa ya 84 ya Expo-Zebu yalifanyika mjini Uberaba, Minas Gerais kuanzia tarehe 28 Aprili hadi 6 Mei, 2018. Maonesho haya makubwa ya ng´ombe duniani…

Read More

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Akutana kwa Mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (katikati) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil, Mhe. Balozi Fernando Jose Marroni de Abreu (hayupo…

Read More
Brazil - Tanzania Relationship

Brazil Cancels U.S.$203 Million Tanzania Debt

BRAZIL has officially cancelled 203 million US dollars debt owed by Tanzania accrued from a loan secured from the South American economic power house in 1979 for construction of Morogoro-Dodoma road.Tanzania's…

Read More

Brazil Yasamehe Deni la Bilioni 445, Yatangaza Rasmi Kufungua Milango ya Ushirikiano wa Kifedha

Serikali ya Brazil imesamehe Tanzania deni la jumla ya Dola za Marekani milioni 203 ambazo ni sawa na shilingi za Kitanzania zaidi ya Bilioni 445. Deni hilo lilitokana na mkopo uliotolewa kwaajili ya ujenzi wa…

Read More
Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Balozi Emmanuel Nchimbi (kulia) akiwasilisha hati ya utambulisho kwa Rais wa Brazil, Michel Temer wakati alipofika kujitambulisha katika Ikulu ya Palácio do Planalto Jijini Brasilia, nchini humo, hivi karibuni.

Balozi Nchimbi Ajitambulisha kwa Rais Michel Temer wa Brazil

Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Balozi Emmanuel Nchimbi (kulia) akiwasilisha hati ya utambulisho kwa Rais wa Brazil, Michel Temer wakati alipofika kujitambulisha katika Ikulu ya Palácio do Planalto Jijini…

Read More
Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Mhe. Emmanuel Nchimbi akianza rasmi majukumu yake ya ofisini kwenye wadhifa wa Balozi mara baada ya kuwasili rasmi kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania zilizopo kwenye makao makuu nchini humo, mjini Brasilia.

Balozi wa Tanzania nchini Brazil awasili rasmi Ubalozini

Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Mhe. Emmanuel Nchimbi akianza rasmi majukumu yake ya ofisini kwenye wadhifa wa Balozi mara baada ya kuwasili rasmi kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania zilizopo…

Read More

Tanzania Ports Authority inviting all eligible Brazilian Companies

The Embassy of the United Republic of Tanzania has the honour to inform that the Government of Tanzania through Tanzania Ports Authority inviting all eligible Brazilian Companies to be a bidder in the tender…

Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimwapisha Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazili, Ikulu jijini Dar esa salaam leo January 20, 2017.

Mhe. Rais Magufuli awaapisha mabalozi Mbalimbali akiwemo Dkt. Emmanuel Nchimbi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimwapisha Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazili, Ikulu jijini Dar esa salaam leo January 20, 2017.

Read More