Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akihojiana na Bw. Franklin Martins wa Cinevideo Production ya Brazil Ijumaa Usiku Ikulu Jijini Dar es Salaam. Bw Martins Aliwahi Kuwa Waziri wa Mawasiliano ya Habari (Social Communication) wa Brazil Wakati wa Utawala wa Rais Lula. Maahojiano Hayo, Yaliyohusu Masuala Mbalimbali Ikiwemo Maendeleo ya Nchi, Siasa, Uchumi na Jamii, Yatarushwa Katika Vituo Mbalimbali vya TV Duniani

  • Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akiwa Katika Picha ya Pamoja na Crew ya Cinevideo Production ya Brazil Baada ya Kufanya Nayo Mahojiano Ijumaa Usiku Ikulu Jijini Dar es SalaamRais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akiwa Katika Picha ya Pamoja na Crew ya Cinevideo Production ya Brazil Baada ya Kufanya Nayo Mahojiano Ijumaa Usiku Ikulu Jijini Dar es Salaam