Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, alifanya mazungumzo na Col. Joseph Bakari, Mwakilishi wa Secretariati ya Baraza la Michezo ya Majeshi Dunaini mwenye mwakazi yake Brussels, Ubelgiji.  Col. Joseph Bakari alitembelea nchini Brazil kushiriki mkutano wa Jeshi la Brazil wenye lengo la kuimarisha michezo ya kijeshi duaniani.